Kwanini Unazaa Wakati wewe ni Maskini-Zari Hassan
Kupitia instastory ya Zari the boss lady alijirekodi video na kuongea maneno haya''bado watu maskini wanazaa? Kwa nini mnaendelea kufungua miguu wakati mko kwenye umasikini halafu mnashika mimba?Mbona uzazi wa mpango siku hizi ni bure?
Amehoji Mama wa watoto watano na mfanya biashara na ni mtu mashuhuli -Zari the boss lady
Haya wanawake zari ajibiwe ni nini sababu?
REPLY HAPA
image quote pre code