✍️Author: Dr. Ombeni
🛡️Review: AfyaClass
Wafunga Ndoa kwenye Korido ya hospital muda mfupi kabla ya Upasuaji hatari wa kichwa
Upasuaji ukingoja, wanandoa hawa walichagua kufunga ndoa kwanza katika korido ya hospitali,,kabla ya dakika chache za mwanaume kuingia chumba cha Upasuaji wa Kichwa ambao ulikuwa Upasuaji hatari Zaidi,na kuunda kumbukumbu nzuri kabla ya moja ya nyakati ngumu zaidi maishani.
Kwa bahati nzuri, upasuaji ulifanikiwa, na kufanya hadithi yao kuwa na nguvu zaidi. Ni ukumbusho kwamba tumaini na upendo vinaweza kung'aa zaidi wakati nyakati ni ngumu zaidi,na kuonyesha Kweli UPENDO una nguvu zaidi.



Post a Comment