Breaking; Lori la Mafuta Laua Watu Zaidi ya 90

Breaking; Lori la Mafuta Laua Watu Zaidi ya 90 Zaidi ya Watu 90 Wafariki Dunia Wakijaribu Kuchota Mafuta kwenye Ajali ya Lori Jeshi la Polisi Nchini Nigeria Limesema Zaidi ya watu 90 wameuawa na…

Zaidi ya Watu 50 Wafariki kufuatia Boti Kuzama Ziwa Kivu, Mashariki Mwa Congo

Zaidi ya Watu 50 Wafariki kufuatia Boti Kuzama Ziwa Kivu, Mashariki Mwa Congo Watu zaidi ya 50 wamefariki dunia huku wengine wengi wakiwa hawafahamiki walipo baada ya boti waliyokuwa wakisafiri…

Watu saba wamefariki dunia kwa ajali mkoani Morogoro

Watu saba wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa mkoani Morogoro baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso katika eneo la Dakawa wilayani Mvomero. Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata a…

Raia wa Togo ni miongoni mwa watu waliokuwemo katika ajali ARUSHA

Raia wa Togo ni miongoni mwa watu waliokuwemo katika ajali iliyotokea Februari 25. 2024 katika eneo la Ngaramtoni mkoani Arusha na kusababisha vifo vya watu 25 na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa.…

Idadi waliofariki dunia kwenye Ajali Arusha yafika 25

Idadi waliofariki dunia kwenye Ajali Arusha yafika 25 Gari la Shule ya Mchepuo wa Kiingereza ya New Vision, likinyanyuliwa baada ya kugongwa na lori katika eneo la Kibaoni (Ngaramtoni), wilayani…

Load More Posts That is All