Head

Atumia siku 1,500 kukuza nywele ili kumsaidia mchumba wake wenye alopecia

Atumia siku 1,500 kukuza nywele ili kumsaidia mchumba wake wenye alopecia Mwanamume huyu alitumia karibu siku 1,500 kukuza nywele zake akiwa na lengo moja mahususi akilini: kumpa mchumba wake wi…

Breaking: Chukueni tahadhari dhidi ya uwepo wa COVID 19

Breaking: Chukueni tahadhari dhidi ya uwepo wa COVID 19 Wizara ya Afya imesema imeendelea kufanya ufuatiliaji wa karibu na kutoa taarifa za kila siku kuhusu magonjwa ya mlipuko pamoja na tetesi …

Nimefanyiwa upasuaji mara 100 na siachi' Nini Ushauri wako hapa

Nimefanyiwa upasuaji mara 100 na siachi' Nini Ushauri wako hapa Abby Wu alikuwa na umri wa miaka 14 tu alipofanyiwa upasuaji wa urembo bandia kwa mara ya kwanza. Baada ya kupata matibabu …

Hatimaye majibu ya vinasaba (DNA) yaliyokuwa yanasubiriwa yametolewa

Hatimaye majibu ya vinasaba (DNA) yaliyokuwa yanasubiriwa yametolewa Hatimaye majibu ya vinasaba (DNA) ya watoto watatu waliozaliwa Machi 24, 2025 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha (Mo…

Ripoti Mpya: Madaktari wa Kike hatarini Kujiua

Ripoti Mpya: Madaktari wa Kike hatarini Kujiua Dar es Salaam. Leo Machi 30 dunia ikiadhimisha siku ya madaktari duniani, Ripoti mpya inaonyesha madaktari wa kike wana uwezekano wa asilimia 76 za…

Wizara ya Afya yaingilia kati Sakata la Mama kubadilishiwa mtoto baada ya kujifungua

Wizara ya Afya yatoa Ufafanuzi kuhusu Sakata la Mama kubadilishiwa mtoto baada ya kujifungua Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambaa mitandaoni inayodai kuwa Neema Kilugala, m…

Kusitishwa kwa ufadhili wa Marekani na Athari kwa Ugonjwa wa Ukimwi;UNAIDS

K usitishwa kwa ufadhili wa Marekani na Athari kwa Ugonjwa wa Ukimwi;UNAIDS Shirika la Umoja wa Mataifa la kupambana na ukimwi UNAIDS leo limeonya kwamba kusitishwa kwa ufadhili wa Marekani si…

Nilikuwa Chanzo cha makovu ya ngozi kwa wanangu

N ilikuwa Chanzo cha makovu ya ngozi kwa wanangu Maelezo ya picha,Mmoja wa binti za Fatima ana mabaka kwenye midomo yake Fatima, Mwanamke mwenye umri wa miaka 32 alitumia vipodozi vya kung…

Mwanaume wa kwanza duniani kupandikiziwa chipu kwenye ubongo Afunguka haya

Mwanaume wa kwanza duniani kupandikiziwa chipu kwenye ubongo Afunguka haya! Mwanaume wa kwanza duniani kupandikiziwa chipu ya kusoma mawazo kwenye ubongo wake kupitia kampuni ya Elon Musk ya Neu…

Siku ya hali ya hewa duniani, tarehe 23 Machi

Siku ya hali ya hewa duniani, tarehe 23 Machi Jana tarehe 23 Machi ilikuwa siku ya hali ya hewa duniani , Tafiti mbali mbali Zinaonyesha kila mwaka kwa kipindi cha miaka kumi iliyopita kumerikod…

Kusambaratika kwa programu za kuzuia na kukabiliana na HIV

Kusambaratika kwa programu za kuzuia na kukabiliana na HIV Uamuzi wa Serikali ya Trump kusitisha misaada ya kigeni iliyokuwa ikisimamiwa na Shirika la misaada la Marekani USAID imeathiri usambaz…

Mara ya Mwisho kutumia dawa za Minyoo ni Lini?

Mara ya Mwisho kutumia dawa za Minyoo ni Lini? Karibu kwenye Discussion Corner,Share hapa Chini kwenye Comment Section! Tuambie Mara ya mwisho kutumia Dawa za Minyoo ilikuwa lini? -je,Ndani ya M…

WHO yaonya maambukizi mapya ya HIV na Vifo kuongezeka baada ya ARVs kusitishwa

WHO yaonya maambukizi mapya ya HIV na Vifo kuongezeka baada ya ARVs kusitishwa Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya maambukizi mapya ya HIV zaidi ya milioni 10 na vifo vya Watu milioni 3 vinav…

Load More Posts That is All