Vilabu vya Simba na Yanga vyapigwa faini, Yanga faini ya Tsh. milioni 5,Simba SC faini ya Tsh. milioni 1
Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji ya Bodi ya Ligi Kuu Soka Tanzania imevitoza faini Vilabu vya Simba na Yanga kwa kufanya makosa kadhaa katika mchezo dhidi yao uliyochezwa Novemba 5 2023 na Yang…