Head

Madaktari kote Gaza wanafanya upasuaji kwa wagonjwa bila ganzi

#PICHA: Mwanaume aliyejeruhiwa amelazwa kwenye kitanda katika hospitali ya Gaza European hospital toka  mwishoni mwa Disemba. Madaktari kote Gaza wanafanya upasuaji kwa wagonjwa bila ganzi, Mada…

Vita vya Isreal-Hamas: Mtangazaji wa habari wa Israeli amebeba bunduki akiwa hewani kwenye studio (Picha)

Vita vya Isreal-Hamas: Mtangazaji wa habari wa Israeli amebeba bunduki akiwa hewani kwenye studio (Picha). Mtangazaji wa habari wa Israel alionekana akiwa na bunduki moja kwa moja hewani alipoku…

WHO:Hatari kubwa ya Magonjwa ya mlipuko Kusambaa Gaza

WHO:Hatari kubwa ya Magonjwa ya mlipuko Kusambaa Gaza. Shirika la Afya Duniani WHO linaangaza athari mbaya za mzozo unaoendelea likisema kuna hatari kubwa ya magonjwa ya milipuko kusambaa. Tangu…

Damu imetapakaa kila mahali kwenye hizi hospitali:Casey

PICHA: Mvulana mwenye umri wa miaka 3, ambaye nyumba yake ilishambuliwa kwa bomu, anapata nafuu katika hospitali ya Nasser baada ya kukatwa sehemu ya mguu wake wa kulia. Wahudumu wa afya huko Uk…

Israel Yaomboleza Vifo Vya Mateka Wa Israel Waliouawa Kimakosa Na Jeshi Lake

Israel Yaomboleza Vifo Vya Mateka Wa Israel Waliouawa Kimakosa Na Jeshi Lake Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, ameyataja mauaji ya mateka hao kuwa ni “janga lisilovumilika” na kuahidi ku…

Serikali ya Israel yaijulisha Tanzania kuwa Mtanzania Joshua Mollel aliuawa na Hamas

Serikali ya Israel yaijulisha Tanzania kuwa Mtanzania Joshua Mollel aliuawa na Hamas. Serikali ya Israel imeijulisha Tanzania kuwa Mtanzania Joshua Mollel aliyekuwa anasoma nchini Israel aliuawa…

Israel yawatambua Watanzania wanaoshikiliwa mateka na Hamas

Serikali ya Israel imethibitisha utambulisho wa watu wawili kutoka Tanzania wanaoaminika kushikiliwa na Hamas tangu shambulio la Oktoba 7 dhidi ya jamii za kusini mwa Israel, karibu na mpaka na …

TANZIA: Mtanzania alietekwa nchini Israel Afariki dunia

TANZIA: Mtanzania alietekwa nchini Israel Afariki dunia Mmoja kati ya wanafunzi wawili wa Tanzania waliotekwa na wapiganaji wa Hamas wakati wa uvamizi wao Israel amefariki. Mmoja kati ya wanafun…

Load More Posts That is All