Watu 26 wafariki Kenya kufuatia maporomoko ya matope yaliyosababishwa na mvua kubwa
Maporomoko hayo ya matope yamechangiwa na kuendelea kunyesha kwa mvua kubwa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Kipchumba Murkomen, ametoa wito kwa wakaazi katika eneo hilo kuwa waangalifu hasa w…