Majibu ya Kupima DNA Tanzania ni Siku 21, Wazazi na Mtoto Gharama ni Laki 3
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imesema licha ya kwamba gharama za upimaji DNA nchini zinafikia hadi Tsh milioni moja lakini Serikali imeamua kugharamia gharama za ziada ili kuwapu…