Head

Mkunga mmoja anatakiwa kuhudumia mjamzito mmoja,wakunga waeleza kinachowavunja moyo

#PICHA:Wakunga kisiwani Zanzibar wakifurahia wakati wa maadhimisho ya siku ya wakunga duniani yaliyofanyika mjini Unguja. Kwa mujibu wa miongozo ya afya, mkunga mmoja anatakiwa kuhudumia mjamzit…

Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema tayari bunge limepitisha Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku

Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema tayari bunge limepitisha Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku ijulikanayo kama “The Tobacco Products (Regulation) Act, 2003” ambayo imetoa katazo la uvutaji wa S…

Serikali kuanzisha taasisi upasuaji ubongo

Serikali kuanzisha taasisi upasuaji ubongo Wizara ya Afya imedhamiria kuanzisha taasisi mahususi itakayoshughulikia masuala ya upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu ili kuboresha huduma hizo z…

Msimamo wa wizara ya afya kuhusu maboresho ya kitita NHIF 2023

Msimamo wa wizara ya afya kuhusu maboresho ya kitita NHIF 2023 Waziri wa Afya Mhe. @ummymwalimu  amevielekeza Vituo Binafsi vilivyoingia mkataba na NHIF Kuzingatia masharti ya Mikataba yao. Wazi…

Maiti mochwari kuzuiliwa, Wizara ya Afya yatoa ufafanuzi

Maiti mochwari  kuzuiliwa, Wizara ya Afya yatoa ufafanuzi. Wizara ya Afya inaendelea kuzikumbusha Hospitali zote za Umma kusimamia na kutekeleza Waraka huu  Namba 1 wa Mwaka 2021 wa KUTOZUIA MAI…

Load More Posts That is All