Maiti mochwari kuzuiliwa, Wizara ya Afya yatoa ufafanuzi

Maiti mochwari kuzuiliwa, Wizara ya Afya yatoa ufafanuzi

#1

Maiti mochwari  kuzuiliwa, Wizara ya Afya yatoa ufafanuzi.

Wizara ya Afya inaendelea kuzikumbusha Hospitali zote za Umma kusimamia na kutekeleza Waraka huu  Namba 1 wa Mwaka 2021 wa KUTOZUIA MAITI NA KUWEKA UTARATIBU WA KULIPIA GHARAMA ZA MATIBABU NA MADENI.

Waraka huu ulisainiwa na aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya wakati huo Prof. Abel Makubi na kuanza kutekelezwa mara moja.

Consultation ya Afya Moja kwa Moja

Mimi ni Dr. Ombeni Mkumbwa. Nakupa ushauri wa kitaalamu kuhusu tatizo lolote la kiafya kwa siri, haraka na uhakika.

WhatsApp

Changia Mada hapa(Reply)


image quote pre code