Head

✍️Author: Dr. Ombeni
🛡️Review: AfyaClass

Jenga tabia ya Kuchunguza Uchafu unaoganda kwenye nguo za ndani



Fahamu Si kila Uchafu unaotoka Sehemu za Siri ni Ugonjwa,unaweza kuona uchafu kwa Sababu ya hali za hedhi kwa mwanamke,mimba, na wakati mwingine nguo ya ndani kuonyesha kuchafuka

Lakini Pia kuona Uchafu kwenye nguo ya ndani umeganda inaweza kukusaidia kujua kama kuna kitu hakipo Sawa

Mfano; Magonjwa kama Fangasi kwa mwanamke unaweza kukuta kila ukitoa nguo ya ndani unakuta uchafu umeganda kama maziwa mgando n.k. uchafu wa njano kama kiashiria cha magonjwa kama PID n.k

Kwa Mwanaume pia,Unaweza kuona uchafu kama Ishara ya magonjwa ya Zinaa,kuona vitu kama Usaha n.k. Zote hizi huweza kuwa Ishara.

Kwahyo,Si kila Uchafu ni tatizo,Lakini pia ukiona usipuuzie unatakiwa kujua chanzo chake.

#Reply

#5Replies
🔥 CHAT NASI
Dr. Ombeni Dr. Ombeni
Je, una changamoto yoyote ya Kiafya? Kwa Ushauri & Tiba tuwasiliane. Call (Kawaida) au SMS (WhatsApp): +255 758 286 584