Je,Dalili ya Kwanza ya HIV ni Mafua?
Watu wengi wanaoambukizwa HIV hupata dalili ndani ya wiki 2–6 baada ya kuambukizwa, lakini sio wote hupata “mafua” au dalili zozote. Hali zinavyoweza kuwa: 1.Wengine hupata dalili kama za mafua:…
Watu wengi wanaoambukizwa HIV hupata dalili ndani ya wiki 2–6 baada ya kuambukizwa, lakini sio wote hupata “mafua” au dalili zozote. Hali zinavyoweza kuwa: 1.Wengine hupata dalili kama za mafua:…
Ni mtu mmoja tu kati ya watu milioni sita mwenye aina nadra sana ya damu iitwayo Rh null. Sasa watafiti wanajaribu kuizalisha katika maabara, wakitumaini kuwa siku moja itaweza kuokoa maisha. Ut…
Dkt. Tareq Gharaibeh, mtaalamu wa magonjwa ya kifua na usingizi, alieleza katika mahojiano kuwa: "Tabia ya kuzungumza wakati wa usingizi haina chanzo maalum kilichothibitishwa kisayansi. Ha…
Nmekuwa nikipata simu nyingi na maswali mengi juu ya shida hii… Watu wengi wanajipima HIV wanaona kipimo chao kimesoma line moja ya C-Control ikiwa na maana ya NEGATIVE, lakini baada ya Muda wan…
Ugonjwa wa mpox na dalili zake,Fahamu hapa ugonjwa huu wa homa ya nyani Ugonjwa Wa Mpox,chanzo,dalili Na Tiba yake Ugonjwa wa homa ya nyani au Mpox ni ugonjwa ambalo unasababishwa na virusi, U…
Watoto wadogo huwa na tabia ya kuweka vitu mdomoni, hata visivyofaa. Hili ni jambo linalowatia wazazi wengi wasiwasi, kwani linaweza kuwa hatari kwa maisha ya mtoto. Mtoto mmoja mwenye umri wa m…
WHO Tanzania kupitia huduma za dharura za afya yasaidia kupunguza vifo vya wajawazito wakati wa kujifungua. Katika kuhakikisha mama hapotezi maisha wakati wa kujifungua hii leo imezinduliwa mion…
Maji machafu au yasiyochemshwa yanaweza kusababisha kipindupindu. Hii ni kwa sababu vimelea vya Vibrio cholerae (bakteria wanaosababisha kipindupindu) huishi na kusambaa kupitia maji na chakula …
Jinsi ya kutambua dalili za mshituko wa moyo Dalili tofauti hutokea kwa watu tofauti, lakini ya kawaida ni maumivu ya kifua sio tu maumivu makali, bali mashinikizo au kubanwa sana kifuani. Kwa w…
Rabies (kichaa cha mbwa) ni ugonjwa hatari wa maambukizi unaosababishwa na virusi vya rabies. Virusi hivi hushambulia mfumo wa neva (ubongo na uti wa mgongo). Jinsi unavyopata: Kupitia kung’at…
Shinikizo la damu lisilodhibitiwa lawaweka hatarini watu zaidi ya bilioni moja duniani – Ripoti ya WHO Dk. Shuaib anaangalia shinikizo la damu na kutoa nyenzo za elimu kwa wanawake wakati wa ka…
wanamke hupata U.T.I kwa urahisi zaidi kuliko wanaume. Sababu kuu ni tofauti za kimaumbile kati ya jinsia hizo: 1. Urefu wa urethra (mrija wa mkojo): Kwa mwanamke, urethra ni fupi zaidi (t…
Kwanini Usitumie chumvi nyingi sana,hizi hapa ni Sababu kuu Sababu kuu za kuto kutumia chumvi nyingi sana ni kwamba chumvi (hasa chumvi ya kawaida – sodium chloride ) ikizidi mwilini inaleta ma…
Je, ni hatari gani za kiafya za kula chumvi kidogo sana kwa afya yetu? Chumvi ni sehemu muhimu ya mlo wetu, na licha ya maonyo kuhusu hatari za kiafya za kuitumia kupita kiasi, mazungumzo yamea…
Je, Choo cha kukalia huweza kusababisha magonjwa? Unapoingia kwenye choo cha kukalia kinachotumiwa na mamia ya watu wengine, unaweza kuwa unajiuliza; vimelea vya magonjwa huishi kwa muda gani k…
Je,Kukojoa Mkojo wenye Povu ni Ishara ya tatizo la Figo? Kukojoa mara kwa mara kunaweza kuwa ishara ya figo kushindwa kufanya kazi vizuri. Ingawa sio kila kukojoa mara kwa mara ni figo. Mkojo we…
Kipara husababishwa na nini? kwanini nywele za Kichwani zipotee Kipara (kupungua au kupoteza nywele kichwani) huwa na vyanzo mbalimbali. Sababu kuu ni hizi: Kurithi (Genetic / hereditary bald…
Daktari bingwa wa magonjwa ya uzazi na masuala ya wanawake Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dk Lilian Mnabwiru, amesema kuna vipindi vitatu anavipitia mwanamke anapofikia kikomo cha hedhi. …
Tumia njia hizi kugundua ugonjwa wa figo,dalili hizi zitakujulisha Figo hufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja katika mwili wetu. Huondoa taka katika mwili. Kuweka uzaini wa maji na madini ya ele…
Fahamu hatari ya Virutubisho kabla ya kuanza kuvitumia Kabla ya kutumia virutubisho (supplements), kuna hatari kadhaa unazopaswa kuzingatia kwa sababu si vyote vinafaa au salama kwa kila mtu. Ha…