Mvua za Masika zaathiri nyumba Takribani 150 Zanzibar
Mvua za Masika zasababisha nyumba takribani 150 Zanzibar kuathirika na wakazi kuzihama nyumba zao wakihofia maisha yao.
Maeneo yaliyoathirika Zaidi ni Pamoja na Kisiwa cha Tumbatu,Fuoni,Kisauni na Tomondo,
Makame Khatib ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Maafa Zanzibar amesema "baadhi ya maeneo hayo yaliyoathirika zaidi ni yale ambayo yapo kwenye mabonde na sehemu zenye miinuko midogo, hali iliyochangia maji kushindwa kupita kwa urahisi wakati Mvua zikiendelea kunyesha".
.jpeg)



Post a Comment
WEKA MAONI HAPA(Reply)