Vi jana barubaru kukabiliwa Zaidi na changamoto ya Afya ya Akili - WHO Kwa mujibu wa Ripoti mpya iliyotolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO) uwekezaji wa haraka unahitajika ili kukabiliana na changamoto za kiafya zinazoongezeka kwa vijana barubaru ikiwemo …
MAKALA ZA HIVI PUNDEJe! unajua kwamba Jua huweza kuimarisha afya yako ya akili? Tafiti zinaonyesha Mwangaza wa jua husaidia kuongeza kemikali katika ubongo wako inayoitwa serotonin, ambayo inaweza kukupa nishati zaidi na kukusaidia kuwa mtulivu, kuwa chanya, na kuongeza umakin…
MAKALA ZA HIVI PUNDEWHO: Mtu mmoja hufa kutokana na kuumwa na nyoka kila baada ya dakika nne hadi sita Shirika la Afya Duniani (WHO) siku ya Jumanne lilisema kuwa mtu mmoja hufa kutokana na kuumwa na nyoka kila baada ya dakika nne hadi sita, na zaidi ya theluthi moja ya waathir…
MAKALA ZA HIVI PUNDETakwimu Mpya;Watanzania asilimia 9% huishi na magonjwa ya kisukari Takwimu za magonjwa yasiyoambukiza ya mwaka 2012 inaonesha watanzania asilimia 9 wanaishi na magonjwa ya kisukari huku asilimia 26 wana magonjwa ya moyo . Hayo ameyasema Jana Jijini Dar es s…
MAKALA ZA HIVI PUNDEUhaba wa maji safi na Salama kuchangia kuongezeka kwa milipuko ya kipindupindu Uhaba wa maji safi na salama na umaskini watajwa kuchangia kuongezeka kwa milipuko ya kipindupindu mwaka jana. Taarifa Mpya: Kwa Mujibu wa Takwimu za shirika la Afya Duniani(WHO) …
MAKALA ZA HIVI PUNDEUnapoacha kuvuta Sigara,Vitu hivi hutokea Nini hutokea mara tu baada ya kuacha kuvuta Sigara, kumbuka kadri unavokuwa mbali na Sigara ndivyo afya yako huimarika Zaidi, Kwa Mujibu wa Shirika la Afya Duniani(WHO); Unapoacha kuvuta sigara,vitu hivi huanza kutok…
MAKALA ZA HIVI PUNDETAASISI ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Oxford cha Uingereza, imefanya upasuaji wa nyonga na magoti kwa wagonjwa 20, wakiwamo nane wa marudio. Wakati hayo yakifanyika, taasisi hiyo …
MAKALA ZA HIVI PUNDEKujifungulia kwenye Maji kwapunguza vifo na maumivu ya uchungu Safari ya kujifungua huwa tofauti kwa kila mwanawake, na husheheni uchungu na maumivu kwa viwango tofauti. Wakati mwingine hali inaweza kuwa mbaya na kusababisha kifo cha mama au mtoto. Lakini wat…
MAKALA ZA HIVI PUNDETAKWIMU:Orodha ya Magonjwa 10 yaliyoongoza kusababisha Vifo Duniani “Mnamo 2021, sababu 10 kuu za vifo zilisababisha vifo milioni 39, Sawa na asilimia 57% ya jumla ya vifo milioni 68 ulimwenguni kote. Hii ni kwa mujibu wa Takwimu za Shirika la Afya Duniani(WH…
MAKALA ZA HIVI PUNDEUtafiti wa 2022 uligundua kuwa matarajio ya kutuliza maumivu yalikuwa utabiri muhimu,Chanzo Kinachoaminika kilichokuwa kinachunguza jinsi muziki unavyoweza kupunguza maumivu ya kipandauso kilisema( ncbi.nlm.nih.gov). Hii inaonyesha kwamba watu ambao walitaraj…
MAKALA ZA HIVI PUNDEAthari za baba Kunywa Pombe kwa Ujauzito Kwa zaidi ya miaka 50, wanasayansi wameonya juu ya hatari za kunywa pombe wakati wa ujauzito. Utafiti wa hivi karibuni umegundua kuwa unywaji pombe hata mara moja kwa wiki, unaweza kuathiri ukuaji wa ubongo wa mtoto, u…
MAKALA ZA HIVI PUNDETAKWIMU za homa ya ini duniani zinaonesha zaidi ya watu milioni 240 huugua. Tanzania, watu watano hadi wanane kati ya 100 wanaugua ugonjwa huo, hususan aina ya B na C. Bingwa wa Magonjwa ya Ini na Mfumo wa Chakula kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)-Mlo…
MAKALA ZA HIVI PUNDEZaidi ya vifo milioni 3 kila mwaka hutokana na matumizi ya pombe na madawa ya kulevya, wengi miongoni mwao ni wanaume. Ripoti mpya kutoka kwa Shirika la Afya Duniani (WHO) inaonyesha kwamba vifo milioni 2.6 kila mwaka vilitokana na unywaji pombe, ambayo ni a…
MAKALA ZA HIVI PUNDEInakadiriwa kuwa wasichana milioni 4.3 walikuwa hatarini kukabiliwa na ukeketaji mwaka 2023. Utafiti huo uliohusisha taarifa zilisowasilishwa na nchi pamoja na asasi za kiraia umebainisha kuwa ingawa mataifa mengi yameongeza juhudi za kutokomeza ukeketaji lak…
MAKALA ZA HIVI PUNDEKula Matunda Zaidi na Mboga Za Majani husaidia Usingizi? Kula matunda na mboga zaidi kunaweza kuathiri muda wa kulala, utafiti mpya umegundua. Watafiti kutoka Finland hivi majuzi walifanya utafiti kuchunguza uhusiano kati ya muda wa kulala na matumizi ya matu…
MAKALA ZA HIVI PUNDEVyakula vyenye Mafuta Kidogo kupunguza hatari ya Saratani. Kulingana na Tafiti Mpya,vyakula vyenye kiwango kidogo cha mafuta husaidia kupunguza hatari ya kupata Saratani ya Mapafu Watafiti kutoka China walichambua data kutoka kwa kundi la zaidi ya watu 98,000…
MAKALA ZA HIVI PUNDEPlastiki yapatikana ndani ya Korodani za Binadamu Chembe chembe ndogo za Plastiki(microplastics) zinaweza kupatikana kila mahali,kuanzia Tumboni mwa Viumbe wa baharini hadi kwenye maji ya Kunywa, Na Sasa zimefika kwenye Korodani Za binadamu. Wanasayansi kuto…
MAKALA ZA HIVI PUNDESindano ya kupunguza uzito ‘inaweza kupunguza mshtuko wa moyo Sindano iliyoundwa kukabiliana na unene wa kupindukia inaweza kupunguza hatari ya mshtuko wa moyo na kiharusi kwa watu bila kujali kiwango cha uzito wanachopoteza wakati wa kutumia dawa hiyo, kulin…
MAKALA ZA HIVI PUNDESindano ya kupunguza uzito ‘inaweza kupunguza mshtuko wa moyo Sindano iliyoundwa kukabiliana na unene wa kupindukia inaweza kupunguza hatari ya mshtuko wa moyo na kiharusi kwa watu bila kujali kiwango cha uzito wanachopoteza wakati wa kutumia dawa hiyo, kulin…
MAKALA ZA HIVI PUNDETestosterone kuwa chini inaweza kuathiri afya ya moyo na kuongeza hatari ya vifo, utafiti mpya Wataalamu wanasema wanaume wazee wanapaswa kufanya mazoezi ili kusaidia kuweka viwango vya testosterone katika hali nzuri. Watafiti wanaripoti kuwa viwango vya chin…
MAKALA ZA HIVI PUNDE
Social Plugin