Kampeni ya chanjo kwa watoto yazinduliwa Ukanda wa Gaza

Mashirika ya Umoja wa Mataifa lile la kuhudumia watoto UNICEF, afya duniani WHO, linalohudumia wakimbizi wa kipalestina UNRWA na wizara ya afya ya Palestina wamezindua kampeni maalum ya chanjo, …

Kuku Zaidi ya millioni 40 kupatiwa chanjo bure

Kuku Zaidi ya millioni 40 kupatiwa chanjo bure Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Samia imepanga kutoa chanjo za kuku milioni arobaini (40) ambapo jumla ya dozi 19,099,10…

Asilimia 60 ya vifo Maniema nchini DRC husababishwa na Malaria

Asilimia 60 ya vifo Maniema nchini DRC husababishwa na Malaria Jimbo la Maniema nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, hatimaye nalo limechukua hatua ya kukabiliana na Malaria kwa kujumui…

Chanjo huzuia Vifo million 3.5 ila Zaidi ya watoto milioni 14 hawakuchanjwa 2024

Chanjo huzuia Vifo million 3.5 ila Zaidi ya watoto milioni 14 hawakuchanjwa 2024 Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya watoto milioni 14 hawakupata chanjo kabisa mwaka 2024. Kulingana na makadirio…

Uzalishaji wa chanjo ya Mpox barani Afrika wajadiliwa

Uzalishaji wa chanjo ya Mpox barani Afrika wajadiliwa Kampuni ya dawa ya Afrika, Aspen Pharmacare, inafanya mazungumzo na washirika wake kuhusu uzalishaji wa chanjo za Mpox katika viwanda vyake…

Zaidi ya watoto 160,000 wachanjwa Gaza

Zaidi ya watoto 160,000 wachanjwa, lengo ni watoto 640,000 Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti leo Jumanne Septemba 3 kwamba watoto 161,030 walio na umri wa chini ya miaka kumi wamechanjwa …

kampeni ya utoaji chanjo kwa watoto yaanza huko Gaza

kampeni ya utoaji chanjo kwa watoto yaanza huko Gaza WHO Kampeni ya Umoja wa Mataifa ya chanjo ya polio inaendelea katikati mwa Gaza Kamishna Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia …

Kovu la Begani baada ya Mtoto kupata chanjo,

Kovu la Begani baada ya Mtoto kupata chanjo, na nini cha kufanya kama KOVU halijatokea, Chanjo ya kuzuia ugonjwa wa Kifua Kikuu Maarufu kama BCG ndyo hutoa KOVU kwenye bega la Mtoto, chanjo hii…

Dola bilioni 1 kuwezesha uzalishaji wa chanjo Afrika

Viongozi wa dunia pamoja na wawakilishi wa mashirika ya afya na makampuni ya dawa wamejumuika pamoja siku ya Alhamisi mjini Paris, Ufaransa katika mkutano wa kilele unaojadili masuala ya chanjo.…

Putin kuja na Chanjo ya Saratani hivi karibuni

Putin kuja na Chanjo ya Saratani hivi karibuni. RAIS  wa Urusi, Vladimir Putin amesema wanasayansi nchini humo wanakaribia kutengeneza chanjo ya saratani ambayo itaanza kupatikana hivi karibuni…

Orodha ya Magonjwa yenye Chanjo

Hii ni Orodha ya Baadhi ya Magonjwa yenye Chanjo; kwa Mujibu wa Shirika la Afya Duniani(WHO), magonjwa haya yana chanjo; 1. Ugonjwa wa Saratani ya Shingo ya Kizazi(Cervical cancer) 2. Ugonjwa wa…

Load More Posts That is All