Afyaclass Bongo Social KUFAHAMU BABA WA MTOTO KWA KUTUMIA KIPIMO CHA DNA

 DNA TEST

• • • • • 

KUFAHAMU BABA WA MTOTO KWA KUTUMIA KIPIMO CHA DNA


DNA TEST, ni kipimo ambacho huhusisha upimaji kati ya baba na mtoto ili kujua kwamba mtoto aliyezaliwa Baba yake ni huyu, au kuna mwingine.


Watu huweza kupima DNA ili kujua baba halisi wa mtoto endapo kumetokea hali mashaka ndani yake,


Upimaji wa DNA kati ya Baba na Mtoto hutoa majibu sahihi endapo utafanyika Baada ya Mtoto kuzaliwa,


Na upimaji huu huweza kuhusisha njia mbili; 


- Kuna upimaji wa Kutumia Sample ya mate kutoka mdomoni yaani Cheek swabs, ambapo mate ya mtoto na baba huchukuliwa na kupimwa


- Na kuna upimaji wa kutumia sample ya Damu yaani Blood test,ambapo damu ya mtoto na baba huchukuliwa na kupimwa


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




You, Mehreen and others

WEKA MAONI HAPA(Reply)

Notification
Karibu Afyaclass Bongo Social Jukwaa linalojadili mambo mbali mbali ikiwemo afya,Magonjwa na Updates Zote,Tembelea hapa kila Siku,Pia Share Maoni yako kwenye jukwaa hili Afyaclass Bongo Social ASANTE.
UNDERSTOOD