Afyaclass Bongo Social USHAURI KWA WATU WENYE UGONJWA WA PRESHA YA MACHO(glaucoma)

PRESHA YA MACHO

• • • • • •

USHAURI KWA WATU WENYE UGONJWA WA PRESHA YA MACHO(glaucoma)


- Hakikisha unatumia dawa ya kudhibiti presha ya macho kama ulivyoelekezwa na wataalam wa afya


- Presha ya macho huweza kuanza kwenye jicho moja kisha baadae macho yote mawili, hivo jitahidi kuhudhuria kliniki kila mara kwa ajili ya kupata vipimo


- Epuka matumizi ya miwani kama njia ya kutibu presha ya macho


- Endapo unapata maumivu makali ya kichwa, macho kutoa machozi, nenda hospital kwa ajili ya kuchunguzwa na kupata matibabu zaidi


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




You, Mehreen and others

WEKA MAONI HAPA(Reply)

Notification
Karibu Afyaclass Bongo Social Jukwaa linalojadili mambo mbali mbali ikiwemo afya,Magonjwa na Updates Zote,Tembelea hapa kila Siku,Pia Share Maoni yako kwenye jukwaa hili Afyaclass Bongo Social ASANTE.
UNDERSTOOD