Head

Mdomo Kupasuka: Sababu Zake Ni Nini?

Mdomo Kupasuka: Sababu Zake Ni Nini? Kupasuka kwa midomo ni tatizo la kawaida linaloweza kuwapata watu wa rika zote. Mara nyingi husababishwa na ukavu wa ngozi ya midomo, lakini wakati mwingine…

Kuvimba kwa Mdomo wa Juu,Sababu, Dalili na Wakati wa Kumwona Daktari

Kuvimba kwa Mdomo wa Juu,Sababu, Dalili na Wakati wa Kumwona Daktari Kuvimba kwa mdomo wa juu ni tatizo linaloweza kutokea ghafla au kuendelea kwa muda. Wakati mwingine huwa jambo dogo linalosab…

Dalili za minyoo,Fahamu hapa Dalili za minyoo Zote

Dalili za Minyoo: Fahamu Dalili Zote, Sababu na Uzoefu wa Madaktari na Wagonjwa Minyoo tumboni ni tatizo la kiafya linalowapata watoto na watu wazima duniani kote, hasa katika maeneo yenye chang…

Madhara ya Acid Reflux (GERD) Yanayopaswa Kujulikana

Madhara ya Acid Reflux (GERD) Yanayopaswa Kujulikana Acid Reflux au GERD (Gastroesophageal Reflux Disease) ni hali ambapo tindikali kutoka tumboni hupanda kwenda kwenye umio mara kwa mara. Mada…

Tatizo la TUMBO kuunguruma chanzo chake nini?

Tatizo la TUMBO kuunguruma chanzo chake nini? Tatizo la tumbo kuunguruma ni hali ambayo huhusisha sauti za kama kelele au milio kutokea tumboni kutokana na harakati za hewa, maji, au chakula kwe…

Dalili za UTI kwa Wanawake na Wanaume: Ishara Usizopaswa Kupuuza

Dalili za UTI kwa Wanawake na Wanaume: Ishara Usizopaswa Kupuuza Maambukizi kwenye njia ya mkojo yanayojulikana kama UTI (Urinary Tract Infection) ni tatizo linalowapata wanawake, wanaume na ha…

Ugonjwa wa Ini husababishwa na nini?

U gonjwa wa Ini husababishwa na nini? Fahamu Ugonjwa wa ini unaweza kusababishwa na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na; matumizi ya pombe kupita kiasi, maambukizi ya virusi kama vile hepatitis…

Kutokwa na Damu Wakati wa Haja Kubwa; Sababu, Dalili na Wakati wa Kuwahi Hospitali

Kutokwa na Damu Wakati wa Haja Kubwa; Sababu, Dalili na Wakati wa Kuwahi Hospitali Watu wengi hupata hofu wanapoona damu wakati wa kwenda haja kubwa. Wengine hudhani ni jambo la kawaida, huku w…

Tatizo la Kuziba kwa Mishipa ya Damu: Dalili, Sababu na Namna ya Kujikinga

Tatizo la Kuziba kwa Mishipa ya Damu: Dalili, Sababu na Namna ya Kujikinga Tatizo la kuziba kwa mishipa ya damu ni moja ya changamoto kubwa za kiafya duniani kwa sasa. Watu wengi hulifahamu pal…

Ugonjwa wa taifodi husababishwa na nini? Homa ya matumbo

Ugonjwa wa taifodi husababishwa na nini? Ugonjwa wa taifodi husababishwa na bakteria wanaoitwa Salmonella Typhi . Bakteria hawa huingia mwilini kupitia kula au kunywa chakula na maji yaliyochafu…

Hantavirus ni nini? ni Virusi gani

Hantavirus ni aina ya virusi vinavyosababisha ugonjwa unaoitwa HantaVirus pulmonary Syndrome (HPS), ambao huathiri sana mapafu na unaweza kuwa hatari kwa maisha. Hantavirus hupatikana wapi? V…

Mawe kwenye mfuko wa nyongo (Gallstones) hutibiwa vipi?

Mawe kwenye mfuko wa nyongo (Gallstones) hutibiwa vipi? Mawe kwenye mfuko wa nyongo (Gallstones) hutibiwa kulingana na dalili Zake, ukubwa wake, na hali ya mgonjwa. 1. Kama hayana dalili Mar…

Jinsi ya Kujikinga na Ugonjwa wa UTI,NEW!

Makala hii imeandikwa na Dr.Ombeni Mkumbwa ,kwa kuzingatia Uzoefu,Idadi ya Wagonjwa wa UTI wanaoripoti hospital kila mara,historia zao,Tafiti mbali mbali za afya ikiwemo kutoka Shirika la Afya D…

Kuhisi kitu kukwama kooni (kama kuna kitu kimekwama au kimekaza kooni)

Kuhisi kitu kukwama kooni  (kama kuna kitu kimekwama au kimekaza kooni) Kuhisi kitu kukwama kooni (kama kuna kitu kimekwama au kimekaza kooni) mara nyingi huitwa kwa kitaalamu Globus Sensation.…

Ugonjwa Wa Macho Kuwasha Chanzo Na Tiba

Ugonjwa Wa Macho Kuwasha Chanzo Na Tiba Tatizo la macho kuwasha ni tatizo ambalo huwapata watu wengi na kuleta kero kubwa kama vile kupikicha macho kila dakika, macho kutoa machozi yenyewe N.K C…

Je,Mate yanaambukiza UKIMWI? fahamu hapa

Je,Mate yanaambukiza UKIMWI? fahamu hapa Hapana — mate hayaambukizi virusi vya UKIMWI (HIV). Virusi vya HIV havipatikani kwa kiasi cha kutosha kwenye mate ili kusababisha maambukizi. Hata kama m…

Fizi kuacha nafasi,zinaanza kuachia meno juu tu (sehemu ya nje)

Fizi kuacha nafasi,zinaanza kuachia meno juu tu (sehemu ya nje) Kama fizi (yaani nyama ya meno) zinaanza kuachia meno juu tu (sehemu ya nje), sababu zake zinaweza kuwa kadhaa. Hapa kuna maelezo …

Koo kuwasha husababishwa nini? na Tiba yake

Koo kuwasha husababishwa nini? na Tiba yake Koo kuwasha huweza kusababishwa na Vitu Vingi ikiwemo; hali ya Mzio(allergies),Maambukizi ya magonjwa n.k, Katika Makala hii tutachambua Sababu hizo k…

Tatizo La Kukosa Choo Chanzo Na Tiba yake

Tatizo La Kukosa Choo Chanzo Na Tiba yake Tatizo la kukosa choo ni hali ambayo mtu anapata ugumu wa kujisaidia au hapati haja kubwa kwa siku kadhaa (mara nyingi chini ya mara 3 kwa wiki). Hali h…

Niliteseka na maumivu ya tumbo – ndipo nikagundua ni Ugonjwa wa amoeba

Niliteseka na maumivu ya tumbo – ndipo nikagundua ni Ugonjwa wa amoeba Mimi naitwa Amani kutoka Mkoa wa Dodoma nchini Tanzania,Katika Hali ambayo haikuwa ya kawaida,nilianza kupata maumivu ya T…

Load More Posts That is All