Diwani wa kata ya Mchikichini Nurdin Bilal Juma, maarufu kama Shetta, ametangazwa rasmi kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam leo Desemba 04, 2025, baada ya kupata ushindi katika kikao cha kwanza cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji. Shetta ali…
MAKALA ZA HIVI PUNDEMwigulu nchemba waziri Mkuu wa Tanzania Mbunge wa Iramba Magharibi Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba ameteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambapo endapo atathibitishwa na Wabunge atahudumu kama Waziri Mkuu w…
MAKALA ZA HIVI PUNDESpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, ametangaza jana kuwa Leo tarehe 13 Novemba 2025, Bunge la 13 katika Mkutano wa Kwanza, Kikao cha Tatu, litakuwa na shughuli muhimu ya kuthibitisha uteuzi wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya M…
MAKALA ZA HIVI PUNDEYaoundé, Cameroon – Issa Tchiroma Bakary, mgombea wa upinzani ambaye pia amejitangaza mshindi wa uchaguzi wa rais, amempa Rais Paul Biya na serikali yake masaa 48 kuachilia huru watu wote waliokamatwa baada ya uchaguzi wa Oktoba 12. Tchiroma ametoa onyo hilo …
MAKALA ZA HIVI PUNDEMbunge Mteule wa Jimbo la Ilala, Dar es salaam Mussa Azzan Zungu ameibuka Mshindi wa kinyang’anyiro cha Kiti cha Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ambapo anakwenda kuwa Spika wa tisa wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Zungu ameibuka Mshin…
MAKALA ZA HIVI PUNDEMwanahabari wa Uingereza Sami Hamdi anatazamiwa kuachiliwa kutoka kizuizini nchini Marekani wiki mbili baada ya kuzuiliwa na Idara ya uhamiaji, familia yake ilisema Jumatatu. Idara ya Uhamiaji na Utekelezaji wa Forodha ya Marekani (ICE) ilimkamata Hamdi, mcha…
MAKALA ZA HIVI PUNDERais wa Marekani Donald Trump ametangaza kwamba kila Mmarekani atapokea angalau $2,000 kutoka kwenye mapato ya ushuru wa Marekani. Katika chapisho kwenye Truth Social, Trump alibainisha kuwa malipo hayo yatakuwa kwa wote isipokuwa "watu wenye kipato cha …
MAKALA ZA HIVI PUNDEWabunge wa Chama cha Mapinduzi wamepitisha jina la Mbunge wa Ilala Kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mussa Azzan maarufu ‘Zungu’ kuwania kiti cha Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Zungu amechaguliwa na Wabunge hao wa CCM kwa kura 348 …
MAKALA ZA HIVI PUNDENancy Pelosi, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Marekani, ametangaza kustaafu kutoka Kongresi, akiisha safari ya kisiasa ya miongo kadhaa iliyomfanya kuwa mmoja wa viongozi wenye ushawishi mkubwa nchini Marekani. Katika ujumbe wa video ulioachiliwa Alhamisi, P…
MAKALA ZA HIVI PUNDERais wa Marekani, Donald Trump amemchimba mkwara meya mpya (Mteule) wa New York, Zohran Mamdani kwamba anapaswa kuwa na heshima kwa Washington, kwa sababu asipofanya hivyo, hana nafasi ya kufanikiwa. Akirejea hotuba ya Mamdani ya kukubali ushindi kama Meya wa…
MAKALA ZA HIVI PUNDEMarekani yaiondoa Mali kwenye Mpango wa Jaribio la Visa Bond Marekani imepunguza shinikizo la kidiplomasia na Mali, ikiondoa taifa hilo la Afrika Magharibi kutoka kwenye Mpango wa Jaribio la Visa Bond ulioleta mzozo, siku chache kabla ya hatua hiyo kuanza kut…
MAKALA ZA HIVI PUNDEPaul Biya atangazwa rasmi mshindi wa Uchaguzi Uraisi Rais Paul Biya mwenye umri wa miaka 92 ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa Uchaguzi wa Rais wa 2025, na kupata 53.66% ya kura dhidi ya Issa Tchiroma, aliyepata 35.19%. Kwa ushindi huu, Biya anaendeleza utawal…
MAKALA ZA HIVI PUNDEMadagascar yabatilisha uraia wa rais aliyepinduliwa Serikali mpya ya Madagascar imemvua rasmi rais aliyepinduliwa Andry Rajoelina uraia wake wa Madagascar, kwa mujibu wa amri iliyochapishwa Ijumaa, Oktoba 25, siku 10 tu baada ya kuondolewa mamlakani katika u…
MAKALA ZA HIVI PUNDECCM yaahidi ajira mpya 5,000 sekta ya afya, ajira 7,000 sekta ya elimu. CHAMA Cha Mapinduzi ( CCM) kimejinasibu kuimarisha sekta ya elimu na afya, ambapo katika miaka mitano ijayo kimeahidi kutoa msukumo serikalini ili kutangazwa ajira mpya 5,000 sekta ya afy…
MAKALA ZA HIVI PUNDEJesca Magufuli ateuliwa Mgombea Ubunge Viti Maalum Vijana(UVCCM) Chama cha Mapinduzi kimewateua Jesca Magufuli kuwa Mgombea Ubunge viti maalum Vijana (UVCCM). Katibu Mkuu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amos Makalla amesema hayo leo August 23,2025 wakati a…
MAKALA ZA HIVI PUNDEOrodha ya Wabunge Walioteuliwa kugombea Ubunge na Majimbo yao,Makonda,Baba Levo ndani - Paul Makonda Chama cha Mapinduzi kimemteua Paul Makonda kuwa Mgombea wa Ubunge kupitia CCM katika Jimbo la Arusha Mjini. Katibu Mkuu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amo…
MAKALA ZA HIVI PUNDERatiba ya vikao vya Kitaifa vya Chama,uteuzi wa Wagombea Ubunge CCM Yatolewa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa taarifa kuwa ratiba ya vikao vya Kitaifa vya Chama, vitakavyofanyika chini ya Mwenyekiti wa CCM, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzan…
MAKALA ZA HIVI PUNDEWagombea 24 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamechukua fomu kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea ubunge wa Jimbo la Kongwa, kufuatia kifo cha aliyekuwa Spika wa Bunge mstaafu na Mbunge wa jimbo hilo, Hayati Job Ndugai. Tukio hilo limefanyika jana, Agosti 12, 20…
MAKALA ZA HIVI PUNDEMgombea Urais Afariki dunia Colombia BOGOTA, COLOMBIA : MGOMBEA Urais wa Colombia, Miguel Uribe, amefariki dunia usiku wa kuamkia Jumanne, miezi miwili baada ya kushambuliwa kwa risasi alipokuwa kwenye kampeni za uchaguzi. Licha ya kuonyesha dalili za kupona…
MAKALA ZA HIVI PUNDEHawa Sita(6) ndyo walioshinda Viti Maalum UVCCM Bara Msimamizi wa uchaguzi wa Viti Maalum kupitia kundi la UVCCM Bara na Zanzibar watakaowakilisha Vijana kwenye Bunge la Tanzania, leo asubuhi ya August 2 2025, ametangaza matokeo ya kura zilizopigwa usiku wa k…
MAKALA ZA HIVI PUNDE
Social Plugin