Paul Biya atangazwa rasmi mshindi wa Uchaguzi Uraisi
Rais Paul Biya mwenye umri wa miaka 92 ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa Uchaguzi wa Rais wa 2025, na kupata 53.66% ya kura dhidi ya Issa Tchiroma, aliyepata 35.19%.
Kwa ushindi huu, Biya anaendeleza utawala wake wa miongo kadhaa na ataendelea kuiongoza Cameroon kwa miaka mingine saba, akitimiza miaka 50 madarakani tangu ashike wadhifa wake kwa mara ya kwanza mwaka wa 1982.








image quote pre code