KITOVU cha mtoto mchanga hakikauki,Kinatoa Usaha,Damu,Sababu ni nini? Zipo dalili mbali mbali huweza kujitokeza kwenye Kitovu cha Mtoto wako,Ukiona Dalili hizi,hakikisha Mtoto anapata Msaada, Dalili hizi ni hatarishi sio nzuri wake: Kitovu kinatoa usaha wenye…
MAKALA ZA HIVI PUNDEBaada ya miaka zaidi ya 50 tangu enzi za Apollo program Binadamu amerudi tena kwenye ndoto ya kwenda Mwezini.Lakini safari hii si ya kawaida.Hii ni safari ya hatari zaidi… ndefu zaidi… na yenye siri nzito zaidi. Hii ni Artemis . Safari Iliyofwatiliwa na Wat…
MAKALA ZA HIVI PUNDEBaadhi ya watu hupata baridi kali ya ghafla, mwili kutetemeka, mapigo ya moyo kwenda mbio pamoja na hisia kali kupita maelezo wanaposikiliza muziki wenye nguvu. Wataalam wa afya huita jambo hili kama Frisson, mwitikio wa kihisia na kisaikolojia unaosababishwa…
MAKALA ZA HIVI PUNDEAepuka kucheka wala kutabasamu kwa Miaka 40 ili kuzuia ngozi kuwa na mikunjo na kuzeeka Ili kuzuia ngozi kuwa na mikunjo(wrinkles) au makunyanzi na kuonekana kama Mzee mkazi wa Uingereza, Tess Christian, ameripotiwa kuepuka kutabasamu au kucheka kwa miaka 40,…
MAKALA ZA HIVI PUNDEWanaanga wanne wa shirika la anga za juu la NASA waliokuwa kwenye misheni ya Artemis II wamerejea salama duniani baada ya kukamilisha safari ya kihistoria ya kuuzunguka Mwezi kwa mara ya kwanza baada ya miaka 50. Chombo cha anga cha Orion kiliwabeba wanaanga …
MAKALA ZA HIVI PUNDEMakala hii imeandikwa na Dr.Ombeni Mkumbwa ,kwa kuzingatia Uzoefu,Idadi ya Wagonjwa wa UTI wanaoripoti hospital kila mara,historia zao,Tafiti mbali mbali za afya ikiwemo kutoka Shirika la Afya Duniani(WHO),pamoja na Taasisi zingine za afya kama vile HealthLin…
MAKALA ZA HIVI PUNDEKuvimba kwa Uume wa Mtoto kwa Mbele sababu ni ipi? Kuvimba kwa ngozi ya mbele ya uume (govi) kwa mtoto mara nyingi husababishwa na mambo haya: 1. Maambukizi (Balanitis au Balanoposthitis) Hii ni kuvimba kwa kichwa cha uume na govi kunakosababishwa na maamb…
MAKALA ZA HIVI PUNDEKwa Mwanamke anayepata maumivu makali wakati wa hedhi anaelewa jinsi maumivu hayo yanavyokuwa. Sasa hapa kuna kitu rahisi ambacho kinaweza kusaidia kidogo - ndizi. Ndizi zina magnesiamu na vitamini B6, ambazo zote zina jukumu la kulegeza misuli na kupunguza M…
MAKALA ZA HIVI PUNDEKuhisi kitu kukwama kooni (kama kuna kitu kimekwama au kimekaza kooni) Kuhisi kitu kukwama kooni (kama kuna kitu kimekwama au kimekaza kooni) mara nyingi huitwa kwa kitaalamu Globus Sensation. Hali hii inaweza kutokea hata kama hakuna kitu halisi kilichokwa…
MAKALA ZA HIVI PUNDEUgonjwa Wa Macho Kuwasha Chanzo Na Tiba Tatizo la macho kuwasha ni tatizo ambalo huwapata watu wengi na kuleta kero kubwa kama vile kupikicha macho kila dakika, macho kutoa machozi yenyewe N.K Chanzo Cha Tatizo La Kuwashwa Macho Zipo sababu mbali mbali ambazo…
MAKALA ZA HIVI PUNDEMjamzito Mapigo Ya Moyo Kwenda Mbio Mapigo ya moyo kwenda mbio kwa mjamzito (moyo kudunda haraka) ni jambo linaloweza kutokea mara nyingi wakati wa ujauzito. Wakati mwingine ni kawaida, lakini wakati mwingine linaweza kuashiria tatizo. Sababu za kawaida (zis…
MAKALA ZA HIVI PUNDEKupata Damu Ya Hedhi Nyeusi inaashiria nini? Kupata damu ya hedhi nyeusi mara nyingi si tatizo kubwa, bali inaashiria damu ya zamani iliyokaa muda mrefu ndani ya mji wa mimba (uterasi) kabla ya kutoka. Damu inapokaa muda, hukosa hewa (oxidation) na kuwa rangi…
MAKALA ZA HIVI PUNDEJinsi ya kuondoa mba kichwani,tatizo la mba kichwani Mba kichwani (dandruff) ni vipande vidogo vya ngozi vinavyodondoka kutoka kwenye kichwa, mara nyingi huambatana na kuwasha. Sababu zake ni nyingi, si uchafu tu. Sababu kuu za mba Ngozi kavu – hasa wak…
MAKALA ZA HIVI PUNDEJe,Mate yanaambukiza UKIMWI? fahamu hapa Hapana — mate hayaambukizi virusi vya UKIMWI (HIV). Virusi vya HIV havipatikani kwa kiasi cha kutosha kwenye mate ili kusababisha maambukizi. Hata kama mtu ana HIV, kumeza, kubusiana, au kugusana kwa mate pekee hakulet…
MAKALA ZA HIVI PUNDEFizi kuacha nafasi,zinaanza kuachia meno juu tu (sehemu ya nje) Kama fizi (yaani nyama ya meno) zinaanza kuachia meno juu tu (sehemu ya nje), sababu zake zinaweza kuwa kadhaa. Hapa kuna maelezo muhimu: Sababu Zinazowezekana: 1. Msuguano mkubwa wakati wa kupig…
MAKALA ZA HIVI PUNDEKoo kuwasha husababishwa nini? na Tiba yake Koo kuwasha huweza kusababishwa na Vitu Vingi ikiwemo; hali ya Mzio(allergies),Maambukizi ya magonjwa n.k, Katika Makala hii tutachambua Sababu hizo kuu ambacho husababisha Koo kuwasha. Kwanini Koo Linawasha? Mambo …
MAKALA ZA HIVI PUNDEUume kuvimba husababishwa na Nini? Uume kuvimba kunaweza kusababishwa na sababu mbalimbali, kulingana na hali ilivyo. Hizi ndizo Sababu kubwa; 1. Maambukizi ya Vimelea mbali mbali vya magonjwa -Maambukizi ya bakteria au fangasi (hasa chini ya ngozi ya kichwa …
MAKALA ZA HIVI PUNDEMaumivu ya Tumbo chini ya Kitovu kwa Mwanamke Watu wengi huhusisha kimakosa maumivu ya tumbo chini ya kitovu kwa wanawake na matatizo ya uzazi pekee. Hii si sahihi. Hali nyingi za kiafya zinaweza kusababisha Maumivu ya Tumbo chini ya Kitovu kwa Mwanamke, na …
MAKALA ZA HIVI PUNDETatizo La Kukosa Choo Chanzo Na Tiba yake Tatizo la kukosa choo ni hali ambayo mtu anapata ugumu wa kujisaidia au hapati haja kubwa kwa siku kadhaa (mara nyingi chini ya mara 3 kwa wiki). Hali hii inaweza kuwa ya muda mfupi au ya kudumu kulingana na chanzo ch…
MAKALA ZA HIVI PUNDEMadhara ya punyeto kwa Vijana,Soma Hapa Kufahamu ukweli wa Mambo Tabia hii imekuwa ikiwaathiri Wanaume Wengi kwa hivi Sasa,Je unazifahamu athari au Madhara ya Punyeto? Madhara ya kujichua/punyeto kwa mwanaume ni kushindwa kusimamisha uume muda mrefu. Hayo nd…
MAKALA ZA HIVI PUNDEMinyoo husababishwa na nini,Minyoo huingiaje mwilini Njia ambazo minyoo huweza kuingia mwilini na kukushambulia ni Zipi? Minyoo kwa binadamu hupatikana kutokana na vyanzo mbalimbali, hasa vinavyohusiana na usafi duni na mazingira. Article author: Dr.Ombeni Mk…
MAKALA ZA HIVI PUNDETatizo La Mwanaume Kuota Matiti,Mwanaume kuwa na Matiti Article written by: Dr.Ombeni Mkumbwa Tatizo hili la Mwanaume kuota matiti(Gynecomastia) huhusisha kuongezeka kwa tishu ndani ya tezi za matiti ya Mwanaume, Na Uwiano usio sawa wa vichocheo (imbalance …
MAKALA ZA HIVI PUNDE
Social Plugin