FAHAMU NAMNA BORA YA KUBEBA MIZIGO(kwa afya ya mgongo)

FAHAMU NAMNA BORA YA KUBEBA MIZIGO(kwa afya ya mgongo)

#1

 MIZIGO

• • • • •

FAHAMU NAMNA BORA YA KUBEBA MIZIGO(kwa afya ya mgongo)


unyanyuaji usio sahihi wa mizigo huweza kusababisha madhara makubwa kwenye mgongo wako pamoja na uti wa mgongo kwa ujumla wake.


Madhara hayo huweza kuwa ni pamoja na;


i). Kupatwa na Maumivu makali ya mgongo


ii). Kupata majeraha au jereha mgongoni kwenye misuli ya mgongo wakati unanyanyua mzigo


iii). Kupatwa na majeraha au jeraha kwenye maungio ya uti wa mgongo


iv). Kupatwa na majeraha au jereha kwenye pingili za uti wa mgongo


v). kupatwa na maumivu makali mwisho wa uti wa mngongo


vi). Kupatwa na maumivu makali ya shingo yote


TAZAMA PICHA YETU HAPA CHINI; Maelezo ya picha hiii


1. Mtu ambaye kawekewa X kwa kutumia alama nyekundu anakosea jinsi ya kubeba mizigo na ndiyo yupo kwenye hatari ya kupata madhara ya mgongo tuliyoyataja hapo juu.


2. Mtu wa pili ambaye ana alama ya vyema rangi ya kijani anafanya sahihi kuhusu jinsi ya kubeba mizigo na mgongo wake upo salama kabsa.



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.





Related Discussions

REPLY HAPA


image quote pre code