Utafiti:Utapiamlo unaweza kusababisha aina mpya ya kisukari Utafiti mpya uliochapishwa katika jarida la The Lancet Global Health unaonyesha kuwa zaidi ya watu milioni 25 duniani wanaishi na aina mpya ya ugonjwa wa kisukari unasababishwa na njaa. Wataalamu wa …
MAKALA ZA HIVI PUNDEEl Niño yapelekea ongezeko la viwango vya njaa na utapiamlo Malawi #PICHA:Majaribio ya upandaji maharagwe yanayostahimili ukame nchini Malawi. (Maktaba) Takriban watu milioni tisa nchini Malawi wanakumbwa na athari mbaya za mafuriko na ukame unaosababishwa na…
MAKALA ZA HIVI PUNDE#PICHA;Mtoto mwenye umri wa mwaka 1 anafanyiwa uchunguzi wa matibabu kama kuna dalili za utapiamlo katika kituo cha mapokezi kwenye mpaka wa Sudan na Sudan Kusini. Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani WFP leo limetia saini mikataba miwili …
MAKALA ZA HIVI PUNDEUdumavu ni nini?chanzo,dalili na Tiba yake Udumavu ni tatizo la kiafya linalotokana na utapiamlo wa muda mrefu, hususani katika kipindi cha ukuaji wa mtoto, kutoka mimba hadi miaka mitano ya kwanza ya maisha. Tatizo hili linaathiri ukuaji wa mtoto kimwili n…
MAKALA ZA HIVI PUNDE#PICHA:Mtoto wa mwaka mmoja anatibiwa utapiamlo katika Kituo cha Afya cha Abu Sunun nchini Sudan. SUDAN: Zaidi ya visa 10,000 vya kipindupindu vyaripotiwa na visa 5,000 vya surua. Nchini Sudan ambako kaimu mwakilishi wa shirika la afya Duniani, WHO nchini hum…
MAKALA ZA HIVI PUNDE
Social Plugin