Maryanne Trump Barry, dadake Donald Trump amekutwa amefariki ghorofani
Maryanne Trump Barry, jaji wa zamani wa shirikisho na dada mkubwa wa rais wa zamani Donald J Trump, amefariki akiwa na umri wa miaka 86. Inasemekana kwamba Barry alikufa nyumbani kwake Jumatatu …