Watu wanne wamefariki dunia, wawili wakiwa ni wa familia moja na wengine saba kujeruhiwa baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria wakitokea shambani kupinduliwa na kiboko katika Mto Rufiji, Kijiji cha Mloka mkoani Pwani. Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Meja Edward Go…
MAKALA ZA HIVI PUNDE
Social Plugin