Mfululizo maarufu wa Filamu ya "Squid Game" umeendelea kuvunja rekodi baada ya msimu wake wa tatu (Season 3) kufikisha watazamaji milioni 60.1 ndani ya siku tatu tu tangu iachiliwe rasmi.
Hii imeiweka moja kwa moja katika nafasi ya kwanza kwenye kila nchi Duniani ambayo Netflix hufuatilia viwango vya watazamaji, hii ikiwa ni mara ya kwanza katika historia ya jukwaa hilo kutokea hivyo.
Kwa sasa, "Squid Game" tayari ipo katika orodha ya mfululizo wa filamu10 bora duniani na kuna uwezekano mkubwa ikawa mfululizo wa kwanza wa Netflix kufikisha jumla ya watazamaji bilioni moja.
REPLY HAPA
image quote pre code