Sakata kati ya Yanga na TFF linazidi kushika kasi, CRDB wajibu

Sakata kati ya Yanga na TFF linazidi kushika kasi, CRDB wajibu

#1

Sakata kati ya Yanga na TFF linazidi kushika kasi, CRDB wajibu



Sakata kati ya Yanga na TFF linazidi kushika kasi, hii inakuja baada ya Jana meneja Habari na mawasiliano wa yanga Ali Kamwe kueleza nia ya timu hiyo kutishiriki mchezo wa Fainali ya Kombe la CRDB kutokana na kutolipwa fedha ya ubingwa walioutwaa msimu uliyopita.

Kupitia Taarifa kwa Umma ikiyotokewa na TFF imeeleza kwamba, klabu ya Yanga iliomba kwa barua fedha Zao za zawadi katika mashindano mbalimbali zikatwe kulipia malipo wanayotakiwa kulipa kwa TFF ikiwemo ada za Wachezaji wa Kigeni, Hivyo TFF ndiyo inayoidai klabu hiyo.

Mapema leo Benki ja CRDB ambayo ndio inadhamimini mashindano hayo imebainisha kwamba ilishatimiza matakwa yote ya kimkataba kwa TFF.

REPLY HAPA


image quote pre code