Je,Unahisi hali ya Kichwa Kuwaka Moto na hujui shida ni nini? fahamu kuhusu Burning Vertex Syndrome
Burning Vertex Syndrome ni hali ya maumivu ya kichwa yenye hisia za moto zinazolenga kilele cha kichwa (vertex) — yaani eneo la katikati kabisa juu ya kichwa.
Dalili kuu: Kuhisi kuungua kichwani, kuchoma, au joto kali kwenye sehemu ya juu ya kichwa (vertex).
Inaweza kuambatana na: Maumivu ya kichwa pia.
Visababishi vya Tatizo hili:
1. Mvutano wa misuli ya shingo na kichwa
2. Shida za neva kama occipital neuralgia
3. Msongo wa mawazo (stress)
4. Kukosa Usingizi
5. Shida kwenye Uti wa mgongo n.k.
Utambuzi na Tiba:
Hakuna vipimo maalum kwa “Burning Vertex Syndrome,” lakini vipimo kama MRI au CT scan vinaweza kutumika kutafuta chanzo.
Hitimisho:
Tatizo hili si Watu Wengi wanalifahamu lakini Lipo, Ukiona Dalili kama hizi Kuhisi hali ya Kuungua Kichwani,kichwa kuwaka moto au hisia ya Joto kali Sehemu ya juu ya Kichwa, Tafta Msaada wa Kwa Daktari au Mtaalam wa Neva,
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
Reply
image quote pre code