TANZIA:Rais Mstaafu Wa Zambia, Edgar Lungu Afariki Dunia

TANZIA:Rais Mstaafu Wa Zambia, Edgar Lungu Afariki Dunia

#1

TANZIA:Rais Mstaafu Wa Zambia, Edgar Lungu Afariki Dunia

Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu amefariki dunia siku ya Alhamisi akiwa na umri wa miaka 68, akiwa anapatiwa matibabu nchini Afrika Kusini.

Lungu alikuwa kiongozi wa taifa hilo kati ya mwaka 2015 na 2021 aliposhindwa kwenye uchaguzi na kiongozi wa upinzani, Hakainde Hichilema.

REPLY HAPA

image quote pre code