Punguza vinywaji vyenye sukari nyingi kwa ajili ya afya yako.
Vinywaji vilivyotiwa sukari nyingi-kama vile soda-vinaweza kudhuru afya yako, hata kwa kiasi, alisema Lorena Pacheco, PhD, mtaalamu wa lishe na mwanasayansi wa utafiti wa lishe katika chuo cha Harvard.
Katika uchunguzi mmoja uliofanyika mwaka 2024 uliohusisha zaidi ya watu 100,000, uligundua kuwa wale ambao walifanya mazoezi mara kwa mara na kunywa vinywaji viwili tu vyenye sukari nyingi kwa wiki walikuwa na hatari kubwa ya 15% ya kupata ugonjwa wa moyo kuliko watu waliofanya mazoezi mara kwa mara lakini walijiepusha na vinywaji vya sukari nyingi.
Je,Vipi kwa wale ambao hawafanyi mazoezi,kazi zao ni za kukaa muda mrefu na wanatumia vinywaji zaidi ya Vinne kwa wiki vyenye Sukari nyingi??
Washiriki kwenye Utafiti huo ambao walikunywa vinywaji viwili vya sukari kwa wiki na hawakufanya mazoezi walikuwa katika hatari kubwa zaidi: karibu Asilimia 50% ya uwezekano wa kupata ugonjwa wa moyo.
REPLY HAPA
image quote pre code