Afyaclass Bongo Social “Nilishawahi kuwaza kujitoa uhai kwasababu ya umbilikimo wangu na umaskini”

“Nilishawahi kuwaza kujitoa uhai kwasababu ya umbilikimo wangu na umaskini”

Familia ya mbilikimo: “Nilishawahi kuwaza kujitoa uhai kwasababu ya umbilikimo wangu na umasikini

Karibu familia nzima ya Mudaheranwa Celeste kutoka Kigali nchini Rwanda wana maumbile ya kimo kifupi kuliko kawaida (Mbilikimo) kuanzia baba hadi watoto.

Licha ya kuwa mke wake ana kimo cha kawaida, ni mtoto mmoja tu ambaye amefuata kimo chake na wengine watano waliosalia wamefuata hali ya baba ya umbilikimo – Licha ya kuwa baadhi ya watoto wao wamekuwa kwa sasa lakini Celeste na Mke wake wanasema safari si rahisi kwao.

Je wanawezaje kukabiliana na hali ya kuwa tofauti na watu wengine katika jamii?. Mwandishi wa BBC Anne Ngugi amezungumza nao.

Source:Bbc

You, Mehreen and others
Hashtag:

WEKA MAONI HAPA(Reply)

Notification
Karibu Afyaclass Bongo Social Jukwaa linalojadili mambo mbali mbali ikiwemo afya,Magonjwa na Updates Zote,Tembelea hapa kila Siku,Pia Share Maoni yako kwenye jukwaa hili Afyaclass Bongo Social ASANTE.
UNDERSTOOD