Nini husababisha Kelele Masikioni,ambazo wengine hawazisikii ila wewe unasikia
Tinnitus, Tatizo hili huhusisha mtu kusikia sauti za makelele au kitu kinaita(ringing) ndani ya sikio moja au yote mawili na sauti hizo hazitoki nje na wala hakuna mtu mwingine anazisikia zaidi …