Bondia Hasaan Mwakinyo kurudi Ulingoni baada ya kimya cha muda mrefu

Bondia Hasaan Mwakinyo kurudi Ulingoni baada ya kimya cha muda mrefu

#1

Bondia Hasaan Mwakinyo kurudi Ulingoni baada ya kimya cha muda mrefu.



Baada ya kimya cha muda mrefu sasa ni rasmi Bondia wa ngumi za kulipwa hapa Nchini Hasaan Mwakinyo anatarajiwa kurejea ulingoni mnamo mwishoni mwa mwaka huu Jijini Mwanza.

Bondia huyo anatarajiwa kuwa na pambono la kimataifa la ubingwa wa Afrika.

Kabla ya pambano kuu kutafanyika mapambano mengine katika mikoa ya Mwanza,Kahama na Kagera ili wapatikane mabondia watakaomsindikiza siku ya pambano lake.

Changia Mada hapa(Reply)


image quote pre code