Nafasi Kazi 10,026 Mpya – Fursa kwa Walimu, Wauguzi na Kada nyingine

Nafasi Kazi 10,026 Mpya – Fursa kwa Walimu, Wauguzi na Kada nyingine

#1

Tangazo hilo ni rasmi la ajira serikalini lililotolewa na Ofisi ya Rais – Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (TAMISEMI/PO-PSMGG) tarehe 18 Oktoba 2025 lenye Kumb. Na. JA.9/259/01/C/6.

Lengo lake ni kutangaza nafasi 10,026 za kazi kwa MDAs & LGAs (yaani Wizara, Idara, Wakala na Mamlaka za Serikali za Mitaa). Soma zaidi

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MDAs NA LGAs 

Changia Mada hapa(Reply)


image quote pre code