KUOGA
• • • • • •
FAIDA ZA KUOGA MAJI BARIDI
1. Kupoza joto katika ngozi
2. Kuchangamsha mwili
3. Kuongeza mzunguko wa damu mwilini
4. Kupunguza maumivu ya misuli baada ya mazoezi
5. Hufaa zaidi kwa wenye muwasho
HASARA ZA KUOGA MAJI BARIDI
1. Hayafai kwa mwenye maradhi ya kifua
2. Hayafai kwa wenye maradhi mengine mbalimbali... .
.
Soma: Tatizo la Kuota nyama Puani
FAIDA ZA KUOGA MAJI YA VUGUVUGU
1. Husaidia kupata usingizi nyakati za usiku
2. Huwafaa wenye maradhi ya njia ya hewa, kama kifua, kikohozi na mafua
3. Wanasayansi kutoka
Chuo Kikuu Loughborough wamegundua kuoga kwa maji ya moto ni sawa na kufanya mazoezi kwa saa moja- Tafiti.
HASARA ZA KUOGA MAJI MOTO
1. Maji haya huweza kudhuru ngozi kwa kuharibu seli za keratin
2. Kwa wagonjwa wa ngozi hayafai
3. Huweza kuleta muwasho kwani joto hupelekea seli za 'mast' kutoa 'histamine' na kupelekea muwasho
4. Hayashauriwi kwa wenye maradhi ya moyo
MUHIMU:
Kiujumla kila aina ya maji ni bora kwa nyakati na sababu tofauti. Pia, faida na Hasara hizi si kwa kila mtu. Kuna watu huoga maji ya baridi iwe Jua ama Mvua na wako vizuri na kinyume chake ni sawasawa.
#afyabongo #drtareeq
Soma: Tatizo la Kuota nyama Puani
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments