KANSA YA NGOZI
.........
KANSA YA NGOZI,DALILI ZAKE PAMOJA NA MATIBABU YAKE
Katika mwili wa Binadamu kuna aina nyingi za Kansa Ikiwemo hii ya ngozi ambayo tunaizungumzia hivi Leo. Kansa hizo ni pamoja na;
- Kansa ya Damu
- Kansa ya Ngozi
- Kansa ya Mapafu
- Kansa ya Koo
- Kansa ya utumbo
- Kansa ya shingo ya Kizazi
- Kansa ya matiti
- Kansa ya kizazi
- Kansa ya Ini
- Kansa ya Ubongo
- N.K
- Kupata vidonda kwenye ngozi ambavyo haviponi kwa haraka
- Kupata maumivu kuzunguka eneo la kidonda
- Ngozi kubadilika rangi na kuwa nyekundu
- Rangi ya vidonda kuwa ya brown au nyeupe wakati mwingine
- Kupata hali ya homa mara kwa mara





.jpeg)




image quote pre code