KANSA YA TUMBO
.........
KANSA YA TUMBO,DALILI ZAKE PAMOJA NA MATIBABU YAKE
Katika mwili wa Binadamu kuna aina nyingi za Kansa Ikiwemo hii ya tumbo ambayo tunaizungumzia hivi Leo. Kansa hizo ni pamoja na;
- Kansa ya Damu
- Kansa ya Ngozi
- Kansa ya Mapafu
- Kansa ya Koo
- Kansa ya utumbo
- Kansa ya shingo ya Kizazi
- Kansa ya matiti
- Kansa ya kizazi
- Kansa ya Ini
- Kansa ya Ubongo
- Kansa ya Tumbo
- N.K
- Kupatwa na Maumivu makali ya tumbo
- Kujisaidia kinyesi kilichochanganyika pamoja na Damu
- Kujisikia kichefuchefu na kutapika pia
- Mwili kuchoka kuliko kawaida
- Kupatwa na homa za mara kwa mara
- Kushuka kwa kasi kwa Uzito wa mwili
- Kupoteza kabsa hamu ya kula
- Wagonjwa hawa wapo pia katika hatari ya kupatwa na Shida ya utapiamlo
- Kupatwa na shida ya mvurugiko wa tumbo mara kwa mara ikiwa ni pamoja na Kuharisha,tumbo kujaa gesi n.k










image quote pre code