MDOMO
• • • • •
MDOMO KUWA MCHUNGU SANA NI DALILI YA UGONJWA GANI?(soma kujua)
Kuna baadhi ya watu hupatwa na tatizo hili la mdomo kuwa mchungu sana, ila hawajui chanzo chake ni nini?
CHANZO CHA MDOMO KUWA MCHUNGU SANA
Kuna baadhi ya sababu mbali mbali ambazo huweza kuchangia mdomo kuwa mchungu sana na miongoni mwa sababu hizo ni kama vile;
- Tatizo la mabadiliko ya mwili ambayo huchangiwa na mabadiliko ya vichocheo vya mwili, hali hii hutokea sana kwa wanawake hasa wajawazito
- Dalili za magonjwa mbali mbali kama vile, ugonjwa wa Malaria
- Mtu kuwa na dalili za vidonda vya tumbo
- Mdomo kuwa mchungu sana baada ya matumizi ya Dawa Flani
- Mdomo kuwa mchungu sana kutokana na shida au mvurugiko kwenye mfumo wa Ini,pamoja na nyongo
- Mdomo kuwa mchungu sana baada ya kula baadhi ya vyakula
- Mdomo kuwa mchungu sana kutokana na kula vitu vyenye sumu au kemikali flani
- Mdomo kuwa mchungu sana kutokana na kupandisha chakula pamoja na acid kutoka tumboni kupanda juu
- Mdomo kuwa mchungu sana baada ya kupatwa na tatizo la kutapika sana
- Mdomo kuwa mchungu sana kutokana na tatizo la Allergy
n.k
Soma: Ugonjwa wa Kuvimba kwa Ini,chanzo,dalili na Tiba
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments