Rais Wa IPU Dkt. Tulia Ackson Awasili Mashariki Ya Kati Kwa Ziara Ya Siku Mbili

#1

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, Novemba 27, 2023 amewasili Mashariki ya Kati kwa ziara ya siku mbili yenye lengo la kujadili jinsi jumuiya ya kimataifa kupitia IPU inaweza kuunga mkono juhudi za kupata suluhu ya mgogoro unaoendelea baina ya Israel na Palestina.

Katika ziara hiyo ya kidiplomasia, Dkt Tulia anatarajia kukutana na Viongozi wa pande zote mbili kwa lengo la kutafuta amani katika eneo hilo.

Consultation ya Afya Moja kwa Moja

Mimi ni Dr. Ombeni Mkumbwa. Nakupa ushauri wa kitaalamu kuhusu tatizo lolote la kiafya kwa siri, haraka na uhakika.

WhatsApp

Changia Mada hapa(Reply)


image quote pre code