Uzinduzi wa Taasisi ya Profesa Jay na Kampeni ya Kuchangia Wagonjwa wa
Figo

Uzinduzi wa Taasisi ya Profesa Jay na Kampeni ya Kuchangia Wagonjwa wa Figo

#1

Uzinduzi wa Taasisi ya Profesa Jay na Kampeni Mahususi ya Kuchangia Wagonjwa wa Figo.

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel Jana Desemba 10, 2023 amemuwakilisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa katika hafla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Profesa Jay na Kampeni Mahususi ya Kuchangia Wagonjwa wa Figo nchini inayofanyika Jijini Dar Es Salaam

#Matukio kwa Picha;

Consultation ya Afya Moja kwa Moja

Mimi ni Dr. Ombeni Mkumbwa. Nakupa ushauri wa kitaalamu kuhusu tatizo lolote la kiafya kwa siri, haraka na uhakika.

WhatsApp

Changia Mada hapa(Reply)


image quote pre code