Kenya: Uhaba wa vifaa vya msingi, maambukizi na ukosefu wa wataalam wa afya chanzo kikuu cha ongezeko la vifo vya watoto wachanga

#1

Kenya: Uhaba wa vifaa vya msingi, maambukizi na ukosefu wa wataalam wa afya chanzo kikuu cha ongezeko la vifo vya watoto wachanga.

Kenya: Uhaba wa vifaa vya msingi, maambukizi na ukosefu wa wataalam wa afya vimetajwa kuwa chanzo kikuu cha ongezeko la vifo vya watoto wachanga kutokea 2017 hadi 2022 nchini Kenya.

Ripoti mpya ya mkaguzi mkuu wa serikali imebaini kuwa chanzo kikuu cha maafa ya watoto ni kuzaliwa kabla kutimiza siku zao, maambukizi na kukosa hewa ya Oxygen na damu kwenye ubongo.

#Ripoti

Consultation ya Afya Moja kwa Moja

Mimi ni Dr. Ombeni Mkumbwa. Nakupa ushauri wa kitaalamu kuhusu tatizo lolote la kiafya kwa siri, haraka na uhakika.

WhatsApp

Changia Mada hapa(Reply)


image quote pre code