Mtu mzee zaidi duniani asherehekea siku yake ya kuzaliwa, ametimiza miaka 117

#1

Mtu mzee zaidi duniani asherehekea siku yake ya kuzaliwa, ametimiza miaka 117

Heri ya siku ya kuzaliwa kwa Maria Branyas Morera.

Amesherehekea siku yake ya kuzaliwa, ametimiza miaka 117 tarehe 4 Machi 1907 huko San Francisco, Marekani, lakini alirudi Uhispania na familia yake alipokuwa na umri wa miaka nane na kuishi Catalonia.

Alithibitishwa kuwa mtu mzee zaidi duniani na Guinness World Records mnamo Januari 2023 🎂

Alianza kuishi katika nyumba moja ya wazee miaka 23 iliyopita.

📸: Guinness World Records

Consultation ya Afya Moja kwa Moja

Mimi ni Dr. Ombeni Mkumbwa. Nakupa ushauri wa kitaalamu kuhusu tatizo lolote la kiafya kwa siri, haraka na uhakika.

WhatsApp

Changia Mada hapa(Reply)


image quote pre code