Afyaclass Bongo Social Njia rahisi za kukusaidia Kuzuia Shinikizo la Juu la Damu

Njia za kukusaidia Kuzuia Shinikizo la Juu la Damu

Unaweza Kuzuia Shinikizo la Juu la Damu kwa kuzingatia yafuatayo;

• Punguza Matumizi ya chumvi nyingi kwenye chakula

• Punguza Sukari, Ongeza matunda na mbogamboga kwenye Mlo

• Jiepushe na Matumizi ya Tumbaku

• Punguza matumizi ya Pombe au kuacha kabsa

• Epuka matumizi ya mafuta kwa wingi au vyakula vyenye mafuta mengi

• Fanya Mazoezi mara kwa mara.. n.k

Photo Credits:Info| ElimuyaAfya

#SOMA pia;

• Jinsi ya kudhibiti Presha yako

Jinsi ya kupima Presha kwa Usahihi

You, Mehreen and others

WEKA MAONI HAPA(Reply)

Notification
Karibu Afyaclass Bongo Social Jukwaa linalojadili mambo mbali mbali ikiwemo afya,Magonjwa na Updates Zote,Tembelea hapa kila Siku,Pia Share Maoni yako kwenye jukwaa hili Afyaclass Bongo Social ASANTE.
UNDERSTOOD