Maumivu ya Mbavu upande wa Kushoto,chanzo,Dalili na Tiba
Maumivu ya Mbavu upande wa kushoto
Tatizo la Maumivu ya mbavu upande wa kushoto ni tatizo ambalo huwapata watu wengi, baadhi yao wanajua chanzo chake na wengine hawafahamu kwani ni tatizo ambalo huanza kwa ghafla tu.!!
Tatizo hili huweza kuhusisha maumivu upande wa kushoto kwenye eneo kabsa la Mbavu au Chini kidogo ya Mbavu upande wa kushoto.
Katika Makala hii tumekuchambulia baadhi ya Sababu za Maumivu upande wako wa kushoto mwa mbavu. Soma Zaidi hapa
CHANZO CHA MAUMIVU YA MBAVU UPANDE WA KUSHOTO
Zipo sababu mbali mbali ambazo huweza kusababisha maumivu makali ya mbavu upande wa kushoto na sababu hizo ni kama vile;
1. Mtu kudondoka, kupata ajali na kupata majeraha upande wa kushoto wa mbavu
2. Mbavu kuvujika
3. Uvimbe unaotokea katika joints za mbavu
4. Kupata shida yoyote inayohusu bandama, kama vile bandama kuvimba n.k
5. Tatizo la kuvutwa sana kwa vimisuli vidogo ambavyo hupatikana katikakati ya mbavu
6. Hali ya kupata maumivu ya mbavu ambayo sababu ni mjongeo usiowakawaida wa mbavu yaani abnormal movement of the ribs, Hapa ndyo utasikia mtu akisema nmeteguka eneo la mbavu.
7. Magonjwa ambayo huhusisha mfumo wa kinga ya mwili yaani Autoimmune diseases kama vile; Rheumatism n.k
8. Lakini pia Unaweza kupata maumivu upande wa Kushoto chini kidogo ya Mbavu kwa Sababu ya Maambukizi kwenye mfumo wa Mkojo au tunasema Urinary track Infection(UTI).
DALILI ZA SHIDA KWENYE MBAVU
– kupata maumivu makali ya mbavu wakati wa kupumua
– Kupata maumivu makali ya mbavu wakati wa kulala
– Kupata maumivu makali ya mbavu wakati wa kuongea
- Kupata Maumivu ya mbavu wakati wa kujisaidia haja ndogo au kubwa n.k.
Je,Una tatizo hili na bado hujapata Tiba?
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
Reply
image quote pre code