Kusikiliza Muziki unaoupenda huweza kuleta matokeo bora kwa afya ya akili

Kusikiliza Muziki unaoupenda huweza kuleta matokeo bora kwa afya ya akili

#1

Tafiti zinaonyesha kwamba,Kusikiliza nyimbo unazozipenda sana huweza kusaidia kuwa na Mudi nzuri(music therapy can have a positive impact on your mood). 



Hali hii ya kusikiliza nyimbo hizo huweza kuchochea Ubongo wako kuzalisha zaidi kichocheo cha dopamine, ambacho husaidia kuleta zaidi hali ya kujisikia vizuri(the brain chemical that helps you feel pleasure). 

Tafiti hizi zinaonyesha;Kusikiliza Nyimbo unayoipenda husaidia kuondoa Hofu,Hali ya huzuni,Msongo wa mawazo,maumivu pamoja na kuleta Usingizi mzuri.⁠

REPLY HAPA


image quote pre code