Moto wateketeza Maduka karibu na Stendi ya Buseresere

Moto wateketeza Maduka karibu na Stendi ya Buseresere

#1

Moto wateketeza Maduka karibu na Stendi ya Buseresere

Maduka ambayo bado idadi yake haijafahamika yaliyopo karibu na stendi ya magari ya Buseresere  Wilayani Chato Mkoani Geita yameungua moto ambao chanzo chake bado hakijajulikana usiku huu leo June 10,2025.

Mashuhuda waliopo eneo la tukio wanasema moto huo umedumu kwa takribani saa mbili na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji tayari lipo katika eneo hilo kwa ajili ya kuuzima moto huo kwa kushirikiana na Wananchi.

REPLY HAPA

image quote pre code