Ndege ya Abiria ya Batik Air yanusurika kuteleza,Sababu Hali Mbaya ya Hewa

Ndege ya Abiria ya Batik Air yanusurika kuteleza,Sababu Hali Mbaya ya Hewa

#1

Ndege ya abiria ya Batik Air ilinusurika kuteleza wakati wa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta, kutokana na hali mbaya ya hewa. Tukio hilo lilinaswa kwenye video iliyorekodiwa na mmoja wa abiria na kusambaa kwa kasi katika mitandao mbalimbali ya kijamii.



Katika video hiyo, ndege ilionekana ikitikisika kwa nguvu wakati wa kutua, ikionyesha hali ya hatari huku ikikaribia kutoka nje ya njia ya kurukia na kutua (runway).

Batik Air ilithibitisha tukio hilo na kueleza kuwa hakuna abiria wala wahudumu walioumia.

REPLY HAPA


image quote pre code