Klabu ya Liverpool imeamua kuupa heshima mkataba wa Diogo Jota kwani itaendelea kuilipa mshahara familia yake katika kipindi kilichobaki cha mkataba huo.
Lakini pia klabu hiyo itaanzisha hazina maalumu kwaajili ya kusaidia watoto wa marehemu Diogo Jota aliyefariki kwa ajali ya gari siku ya juzi huko Hispania.
REPLY HAPA
image quote pre code