Leo ni Siku ya Idadi ya Watu Duniani

Leo ni Siku ya Idadi ya Watu Duniani

#1

Leo ni Siku ya Idadi ya Watu Duniani, kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni: “Kuwawezesha vijana kuunda familia wanazotaka katika dunia yenye haki na matumaini. Unadhani ni njia zipi bora za kuwawezesha kauli mbiu hiyo kutimia?

Inakadiriwa kuwa idadi ya watu ulimwenguni mwaka huu wa 2025 ni zaidi ya bilioni 8.1.



Related Discussions

REPLY HAPA


image quote pre code