Msanii Mrisho Mpoto amethibitisha kufiwa na Mkewe ambaye alikuwa akiugua, Mpoto ameiambia AyoTVENT kuwa msiba Upo Nyumbani kwake kijichi na wanatarajia kuzika siku ya Kesho SAA 10 Jioni
“Msiba Upo Nyumbani kwangu Kijichi na mazishi ni Yombo kesho saa 10 Jioni, tutamzika Kwenye makaburi ya familia ya upande wa kwao, mke wangu kaenda kaka vido, alikuwa anaitwa Mariam” Mpoto
REPLY HAPA
image quote pre code